+255787032164 | Tanki Bovu, Dar es Salaam
Simu Used Kutoka Dubai - Bei Nafuu Tanzania

Pata Simu ya Ndoto Yako

Original Used Simu Kutoka Dubai. Warranty Ipo!

Tunapatikana Wapi?

Tupo Tanki Bovu, barabara ya kuelekea Bagamoyo Road. Ukifika kwenye kibao cha Shule, tupigie simu au fuata ramani.

Kuhusu Uza na Nunua Used

Sisi ni mabingwa wa kuingiza simu daraja la kwanza (Grade A) kutoka Dubai. Tofauti na wengine, sisi tunatoa:

  • Wiki 2 za Warranty (Exchange)
  • Chaja Original na Screen Protector Bure
  • Bei rafiki kuliko duka lolote Dar
  • Delivery mikoani kote Tanzania
Dubai Stock

Kikapu Chako


Jumla:
Tsh 0